• HABARI MPYA

  Friday, October 13, 2017

  GUARDIOLA AWABEBA WASAIDIZI WAKE WOTE KUSHEREHEKEA NAO TUZO

  Kocha Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola (katikati) akifurahia tuzo yake Kocha Bora wa Ligi Kuu ya England mwezi Septemba pamoja na benchi lake zima la ufundi; Kutoka kushoto: Xabi Mancisidor (kocha wa makipa), Rodolfo Borrell (kocha msaidizi), Domenec Torrent (kocha msaidizi), Brian Kidd (kocha msaidizi), Mikel Arteta (kocha msaidizi), Carles Planchart (kocha msaidizi) PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GUARDIOLA AWABEBA WASAIDIZI WAKE WOTE KUSHEREHEKEA NAO TUZO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top