• HABARI MPYA

  Monday, October 09, 2017

  GORETZKA APIGA MBILI UJERUMANI YAICHAPA 5-1 AZERBAIJAN

  Leon Goretzka akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili jana dakika za nane na 66 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Azerbaijan kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Fritz-Walter mjini Kaiserslautern. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Sandro Wanger dakika ya 54, Antonio Rudiger dakika ya 64 na Emre Can dakika ya 81, wakati la Azerbaijan limefungwa na Ramil Sheydaev dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GORETZKA APIGA MBILI UJERUMANI YAICHAPA 5-1 AZERBAIJAN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top