• HABARI MPYA

    Wednesday, May 10, 2017

    YANGA NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja (kulia) akiruka juu kudaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ilishinda 2-1
    Kipa wa Yanga, Benno Kakolanya akiwa juu kudaka mpira katika mchezo wa jana
    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akiwatoka wachezaji wa Kagera Sugar
    Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Kagera Sugar 
    Beki wa Kagera Sugar, Anthony Matogolo akiudhibiti mpira dhidi ya wachezaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) na Obrey Chirwa (kulia) 
    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akitafuta mipango ya kumpita mchezaji wa Kagera Sugar
    Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Mbaraka Yussuf Abeid akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali   
    Wachezaji wa timu zote wakiwa wamesimama kuomboleza msiba wa wanafunzi 36 na walimu wao pamoja na dereva waliofariki katika ajali ya basi dogo aina ya Coaster Jumamosi mjini Arusha 
    Kikosi cha Yanga kilichoanza jana na chini ni kikosi cha Kagera Sugar

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top