• HABARI MPYA

    Monday, May 08, 2017

    SIMBA SC NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (kulia) akimiliki mpira mbele ya kiungo wa African Lyon, Omar Abdallah katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1 
    Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiwania mpira dhid ya mchezaji wa African Lyon
    Kiungo wa Simba, Jonas Mkude (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mchezaji wa African Lyon
    Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimtoka mchezaji wa African Lyon
    Winga wa Simba, Shizza Kichuya (kulia) akimgeuza beki wa African Lyon 
    Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akitafuta maarifa ya kumpita beki wa African Lyon, Hassan Isihaka
    Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja (kulia) akiwapa mbinu mbadala wachezaji wake jana
    Kutoka kulia ni Kocha wa Singida United, Mholanzi Hans van der Pluijm, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe na mpenzi wa Simba, Hamisi Mngeja
    Kikosi cha African Lyon jana
    Kikosi cha Simba jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top