• HABARI MPYA

  Sunday, May 07, 2017

  MLUNDWA ALIPOWEKA REKODI YA BINGWA MDOGO WA TAIFA 1974

  Refa Mulenga akimuinua mkono bondia wa Ziwa Magharibi, Kagera, Emmanuel Mlundwa (kulia) baada ya kumshinda kwa Knockout (KO), Adelhadrus Mukajanga wa Kilimanjaro (kushoto) raundi ya pili na kutwaa ubingwa wa Tanzania uzito wa Light Fly Machi mwaka 1974 akiwa ana umri wa miaka 17 na miezi 3.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MLUNDWA ALIPOWEKA REKODI YA BINGWA MDOGO WA TAIFA 1974 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top