• HABARI MPYA

  Sunday, May 07, 2017

  REAL MADRID YAIPIGA 4-0 GRANADA LA LIGA

  James Rodriguez (kulia) akishangilia na Lucas Vazquez baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za tatu na 11 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Granada usiku wa jana Uwanja wa Nuevo Los Carmenes mjini Granada kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Alvaro Morata dakika za 30 na 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAIPIGA 4-0 GRANADA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top