• HABARI MPYA

  Friday, May 05, 2017

  MAN UNITED YAIANGUSHA CELTA VIGO KWAO 1-0 EUROPA LEAGUE

  Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford (kushoto) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Antonio Valencia baada ya kuifungia bao pekee timu yake katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Celta Vigo dakika ya 67 kwa shuti la moja kwa moja la mpira wa adhabu katika Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League usiku huu Uwanja wa Balaidos, Vigo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAIANGUSHA CELTA VIGO KWAO 1-0 EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top