• HABARI MPYA

    Tuesday, May 09, 2017

    KOZI YA UONGOZI WA SOKA ILIVYOFUNGULIWA LEO TAIFA

    Mkufunzi wa kimataifa, Henry Tandau (kulia) akitoa somo kwa wana kozi ya uongozi wa soka iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambayo imeanza leo kwenye moja ya kumbi za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Azam, Philipo Alando na Mhasibu wa Bakhresa Group Limited, Abdulkarim Amin 'Popat' ambaye tayari amepitia mafunzo mbalimbali ya ukocha na uongozi ngazi za awali 
    Tandau akitoa somo kwa nadharia na vitendo. Kutoka kushoto ni Omar Kaaya, Meneja Masoko wa Yanga, Said Tuliy na Ally Suru Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba 
    Maofisa wa TFF, Mhasibu Danny Msangi (kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Wilfred McGustine Kidau 
    Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba (kushoto) alikuwepo pia 
    Mwanamke pekee anayeshiriki kozi hiyo, Fatma Shibo wa Bodi ya Ligi
    Washiriki wakimskiliza kwa makini Mkufunzi anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Tandau 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOZI YA UONGOZI WA SOKA ILIVYOFUNGULIWA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top