• HABARI MPYA

  Thursday, May 04, 2017

  KIM POULSEN AKIPASHA NA VIJANA WA SERENGETI BOYS LEO YAOUNDE

  Mshauri wa Ufundi wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Mdenmark Kim Poulsen akiwaongoza vijana wake maoezini mjini Yaounde, Cameroon leo.
  Serengeti Boys ilikuwa Cameroon kwa wiki moja kwa ajili ya mechi mbili za kirafiki dhidi ya wenyeji, ya kwanza wakishinda 1-0 Aprili 30 na ya pili wakifungwa 1-0 jana. Wanatarajiwa kuondoka Jumapili kwenda Gabon kushiriki fainali za U-17 Afrika 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIM POULSEN AKIPASHA NA VIJANA WA SERENGETI BOYS LEO YAOUNDE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top