• HABARI MPYA

  Sunday, May 07, 2017

  FORSTER AOKOA PENALTI YA JAMES MILNER, LIVERPOOL SARE 0-0 NA SOUTHAMPTON

  Kipa wa Southampton, Fraser Forster akinyoosha mkono kupangua mkwaju wa penalti wa James Milner dakika ya 66 baada ya Jack Stephens kuunawa mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield, timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FORSTER AOKOA PENALTI YA JAMES MILNER, LIVERPOOL SARE 0-0 NA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top