• HABARI MPYA

  Sunday, May 07, 2017

  ARSENAL YAIGIDA MAN UNITED MAPEMAAA, 2-0 KAMA WAMESIMAMA

  Danny Welbeck akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 57 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Emirates, London. Bao la kwanza lilifungwa na Granit Xhaka dakika ya 54 na Arsenal inaongeza matumaini ya kumaliza ndani ya nne bora ikifikisha pointi 63 baada ya kucheza mechi 34 katika nafasi ya sita, nyuma ya Man United inayobaki na pointi zake 65 za mechi 35, Manchester City pointi 69 mechi 35, Liverpool pointi 70 za mechi 36, Tottenham Hotspur pointi 77 za mechi 35 na vinara, Chelsea pointi 81 za mechi 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAIGIDA MAN UNITED MAPEMAAA, 2-0 KAMA WAMESIMAMA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top