• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2017

  SERENGETI BOYS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA KAITABA

  Kiungo wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Serengeti Boys, Mathias Juan akimzunguka mchezaji wa Burundi katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Serengeti Boys ilishinda 2-0 
  Kiungo wa Serengeti Boys Abdul Suleiman akimtoka mchezaji wa Burundi jana Uwanja wa Kaitba
  Beki na Nahodha wa Serengeti Boys, Issa Abdi Makamba akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Burundi
  Mshambuliaji wa Serengeti Boys, Ibrahim Abdallah Ali akimtoka beki wa Burundi jana 
  Kikosi cha Serengeti Boys kilichoanza jana Uwanja wa Kaitaba na chini ni kikosi cha Burundi

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top