• HABARI MPYA

  Thursday, April 13, 2017

  ATLETICO WAINYONGA LEICESTER KWA TUTA LA GRIEZMANN

  Mfungaji wa bao pekee la Atletico Madrid, Antoine Griezmann kwa penalti dakika ya 28 katika ushindi wa 1-0 akiwa hewani kuwania mpira dhidi ya wachezaji wa Leicester City, Danny Drinkwater na Ndindi (kulia) katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid. Penalti hiyo ilitolewwa baada ya Marc Albrighton kumchezea rafu Griezmann nje ya boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ATLETICO WAINYONGA LEICESTER KWA TUTA LA GRIEZMANN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top