• HABARI MPYA

    Monday, September 19, 2016

    HAPA VIPI?

    Pamoja na ukarabati wa muda mrefu uliohusisha kuongeza majukwaa kwenye Uwanja wa Uhuru, zamani Taifa, Dar es Salaam, lakini bango la kuonyesha matokeo ya mechi wakati zinaendelea limerudi kama lilivyokuwa tangu Uwanja huo unafunguliwa enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (sasa marehemu), Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAPA VIPI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top