• HABARI MPYA

  Tuesday, May 03, 2016

  CHELSEA WAPELEKA UBINGWA LEICESTER, WAIKOMALIA SPURS SARE 2-2 DARAJANI

  Mshambuliaji wa Chelsea, Eden Hazard (kushoto) akifumua shuti la nguvu kuisawazishia timu yake usiku wa Jumatatu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham Hotspur Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Gary Cahill, wakati ya Spurs yamefungwa na Harry Kane na Son Heung-min na kwa sare hiyo Leicester City wanakuwa mabingwa wapya wa England kwani pointi zao 77 haziwezi tena kufikiwa na Spurs  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA WAPELEKA UBINGWA LEICESTER, WAIKOMALIA SPURS SARE 2-2 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top