• HABARI MPYA

  Sunday, April 10, 2016

  YANGA NA AL AHLY KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Winga wa Yanga SC, Godfrey Mwashiuya (kulia) akituliza mpira gambani pembeni ya beki wa Al Ahly ya Misri, Mohamed Hany (kushoto) katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1

  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimiliki mpira mbele ya beki wa Al Ahly, Rami Rabea
  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimdhibiti kiungo mkabaji wa Al Ahly, Ahmed Fathi

  Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akiukimbilia mpira mbele ya beki wa Al Ahly, Mohamed Hany

  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimtoka kiungo wa Al Ahly, Mohamed Fathi

  Kiungo wa Yanga, Salum Telela akipiga mpira kichwa pembeni ya kiungo wa Al Ahly, Malick Evouma

  Beki wa Yanga, Juma Abdul akiwatoka wachezaji wa Al Ahly jana Taifa

  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko (kulia) akitafuta maarifa ya kumtoka kiungo wa Al Ahly, Hossam Ghally

  Kikosi cha Yanga kilichomenyana na Al Ahly jana Uwanja wa Taifa

  Kikosi cha Al Ahly kilichotoa sare ya 1-1 na Yanga jana Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA AL AHLY KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top