• HABARI MPYA

  Sunday, April 10, 2016

  MANNY PACQUIAO AMKALISHA MARA MBILI BRADLEY

  Bondia Timoth Bradley akikaa chini ya kuzidiwa na uzito wa ngumi ya Manny Pacquiao katika raundi ya tisa hiyo ikiwa mara ya pili kwenye pambano hilo la raundi 12 uzito wa Welter baada ya awali kumuangusha raundi ya saba ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas, Marekani. Pacquiao alishinda kwa pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANNY PACQUIAO AMKALISHA MARA MBILI BRADLEY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top