• HABARI MPYA

    Wednesday, April 06, 2016

    AL AHLY HAWA HAPA, WAMETUA ALFAJIRI DAR

    Wachezaji wa Al Ahly ya Misri wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam Alfajiri ya leo tayari kwa mchezo wao wa Jumamosi dhidi ya wenyeji, Yanga
    Kocha Mholanzi, Martin Jol akifurahia baada ya kukanyaga ardhi ya Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora
    Wachezaji wa Al Ahly wakipanda basi kuelekea hoteli ya Serena walipofikia
    Wamewasili wakionekana wako vizuri kuelekea mchezo huo
    Wachezaji wote walivalia fulana na suruali za michezo katika safari yao ya kuja Dar es Salaam

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AL AHLY HAWA HAPA, WAMETUA ALFAJIRI DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top