• HABARI MPYA

  Sunday, March 13, 2016

  MARTIAL AINUSURU MAN UNITED KUAGA KOMBE LA FA, AICHOMOLEA BAO MWISHONI WEST HAM

  Mshambuliaji Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 83 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England usiku huu Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoa sare ya 1-1. Bao la West Ham limefungwa na Dimitri Payet dakika ya 68 na sasa timu hizo zitarudiana kuwania kwenda Nusu Fainali ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARTIAL AINUSURU MAN UNITED KUAGA KOMBE LA FA, AICHOMOLEA BAO MWISHONI WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top