• HABARI MPYA

  Saturday, August 11, 2018

  SPURS YAANZA VYEMA ENGLAND, YAICHAPA 2-1 NEWCASTLE

  Delle Alli (kulia) akishangilia na na mchezaji mwenzake, Harry Kane (kushoto) baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 18 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United Uwanja wa St James Park leo. Bao la kwanza la Spurs limefungwa na Jan Vertonghen dakika ya nane wakati la Newcastle limefungwa na Joselu dakika ya 11 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAANZA VYEMA ENGLAND, YAICHAPA 2-1 NEWCASTLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top