• HABARI MPYA

  Saturday, August 18, 2018

  RONALDO ANG'ARA JUVENTUS IKIICHAPA 3-2 CHIEVO

  Mshambuliaji mpya wa Juventus, Cristiano Ronaldo akipasua katikati ya wachezaji wa Chievo leo katika mchezo wa Serie A Italia Uwanja wa Marc'Antonio Bentegodi mjini Verona. Juve imeshinda 3-2, mabao ya Sami Khedira dakika ya tatu, Mattia Bani aliyejifunga dakika ya 75 na Federico Bernardeschi dakika ya 90 na ushei, wakati ya Chievo yamefungwa na Mariusz Stepinski dakika ya 38 na Emanuele Giaccherini kwa penalti dakika ya 56 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO ANG'ARA JUVENTUS IKIICHAPA 3-2 CHIEVO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top