• HABARI MPYA

  Saturday, August 18, 2018

  KANE AANZA KAZI, AFUNGA SPURS IKIICHAPA FULHAM 3-1

  Mshambuliaji Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Tottenham Hotspur dakika ya 77 ikiilaza 3-1 Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley, London leo. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Lucas Moura dakika ya 43 na Kieran Trippier dakika ya 74, wakati la Fulham limefungwa na Aleksandar Mitrovic dakika ya 52 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANE AANZA KAZI, AFUNGA SPURS IKIICHAPA FULHAM 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top