• HABARI MPYA

  Saturday, August 11, 2018

  POGBA AFUNGA MAN UNITED YAICHAPA LEICESTER 2-1

  Nahodha wa Manchester United leo, Paul Pogba akiifungia kwa penalti bao la kwanza Manchester United dakika ya tatu baada ya Daniel Amartey wa Leicester City kuunawa mpira kwenye boksi. United imeanza vyema Ligi kwa ushindi wa 2-1, bao la pili likifungwa na Luke Shaw dakika ya 83, kabla Jamie Vardy kuifungia la kufutia machozi Leicester dakika ya 90 ushei Uwanja wa Old Trafford leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AFUNGA MAN UNITED YAICHAPA LEICESTER 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top