Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris St Germain bao la kwanza dakika ya 10 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Caen kwenye mchezo wa kwanza wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Neymar ameichezea kwa mara ya kwanza PSG tangu alipoumiwa Februari mwaka huu na mabao mengine ya timu hiyo yamefungwa na Adrien Rabiot dakika ya 35 na Tim Weah dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool's 'staggering' substitute blunder: Jamie Redknapp hits out at
Reds stars after failure to replace injured player left them with 10 men
for SEVEN MINUTES, allowing Bournemouth to score crucial second
-
Jamie Redknapp has criticised Liverpool's 'amateur' handling of the
situation following Joe Gomez's injury, with a seven-minute spell playing
with just 10 ...
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment