Mshambulijai Robert Lewandowski akiwa ameshika taji la Super Cup ya Ujerumani baada ya kufunga mabao matatu dakika za 21, 26 na 54 katika ushindi wa 5-0 wa Bayern Munich dhidi ya Eintracht Frankfurt jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt akiiwezesha Bavarians kushinda taji la tatu mfululizo. Mabao mengine ya Bayern Munich inayobeba Super Cup ya Ujerumani kwa mara ya tatu mfululizo yamefungwa na Kingsley Coman dakika ya 63 na Thiago Alcântara dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ghanaian goal-machine Jordan Mintah joins Malaysian side Terengganu FC on one-year deal
-
Ghanaian scoring sensation Jordan Mintah has signed a one-year contract
with Malaysian top-flight side Terengganu Football Club, the club announced
on Sund...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment