• HABARI MPYA

  Thursday, August 16, 2018

  MALCOM AANZA NA BARCELONA IKIIPIGA 3-0 BOCA JUNIORS

  Winga Mbrazil, Malcom Filipe Silva de Oliveira maarufu tu kama Malcom, akifumua shuti ndani ya eneo la penalti kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Boca Juniors kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou huo mchezo wake wa kwanza baada ya kusajiliwa kutoka Bordeaux. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Leonel Messi dakika ya 39 na Rafael Alcantara do Nascimento 'Rafinha' dakika ya 67 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MALCOM AANZA NA BARCELONA IKIIPIGA 3-0 BOCA JUNIORS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top