• HABARI MPYA

  Sunday, August 12, 2018

  ARSENAL BADO NI ILE ILE TU, SEMA MSIMU NDIO MWINGINE

  Mshambuliaji Raheem Sterling akifumua shuti dhidi ya wachezaji wa Arsenal, Matteo Guendouzi na Hector Bellerin kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 14 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji leo Uwanja wa Emirates, London. Bao la pili limefungwa na Bernardo Silva dakika ya 64 na wote kwa pasi za  Benjamin Mendy kocha mpya, Mspaniola Unai Emery akianza vibaya msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu baada ya kuchukua nafasi ya Mfaransa, Arsene Wenger 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL BADO NI ILE ILE TU, SEMA MSIMU NDIO MWINGINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top