• HABARI MPYA

  Sunday, March 11, 2018

  SUAREZ AFUNGA BARCELONA YAICHAPA 2-0 MALAGA LA LIGA

  Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 15 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Malaga kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa La Rosaleda mjini Malaga, bao la pili likifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AFUNGA BARCELONA YAICHAPA 2-0 MALAGA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top