• HABARI MPYA

  Saturday, March 10, 2018

  RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 UGENINI

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 34 na 84 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga mchana wa leo Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar. Bao la wenyeji limefungwa na beki Ivan Ramis dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top