• HABARI MPYA

    Monday, March 19, 2018

    NGORONGORO NA MOROCCO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA UHURU

    Winga wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Said Mussa 'Ronaldo' akitafuta mbinu za kuwatoroka wachezaji wa Morocco katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Ngorongoro ilishinda 1-0 
    Mshambuliaji wa Tanzania, Muhsin Makame akimgeuza Nahodha wa Morocco, Bah Said Nolad (kushoto) 
    Kelvin Naftali wa Tanzania (kulia) akimpita Limourt Youssef wa Morocco
    Kipa wa Morocco, Laafsa Zyad akiwa juu kudaja mpira dhidi ya Abdul Suleiman wa Tanzania 
    Ally Msengi wa Tanzania akiondoka na mpira dhidi ya Bousbaa Idriss wa Morocco, huku Elovauabi Hatin (kulia) akiwa tayari kusaidia
    Nickson Kibabage wa Tanzania akimpita Lanine Yassine wa Morocco 
    Dickson Job wa Tanzania (kulia) akigombea mpira na Bousbaa Idriss wa Morocco
    Benchi la Ufundi la Tanzania kutoka kulia Meneja Leopold Tasso, Kocha wa makipa Saleh Machuppa, Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha Mkuu Ammy Ninje 
    Kikosi cha Serengeti Boys kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru 
    Kikosi cha Morocco kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGORONGORO NA MOROCCO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top