• HABARI MPYA

  Monday, March 19, 2018

  RB LEIPZIG YAIFUNGA KWA MARA YA KWANZA KABISA BAYERN MUNICH

  Naby Keita (kulia) akiifungia bao la kwanza RB Leipzig dakika ya 37 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Bayern Munich usiku wa jana Uwanja wa Red Bull Arena mjini Leipzig kwenye mchezo wa Bundesliga, huo ukiwa ushindi wao wa kwanza kihistoria dhidi ya vigogo hao wa Ujerumani. Sandro Wagner alianza kuwafungia Bayern Munich dakika ya 12 na bao la ushindi la Leipzig lilifungwa na Timo Werner aliyetokea benchi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RB LEIPZIG YAIFUNGA KWA MARA YA KWANZA KABISA BAYERN MUNICH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top