• HABARI MPYA

  Saturday, March 10, 2018

  MESSI AKAMILISHA 'HAT TRICK' YA WATOTO, MKEWE AJIFUNGUA MTOTO WA TATU

  Mshambuliaji Lionel Messi ameposti picha hii akiwa na familia yake pamoja na mtoto wake wa tatu, wa kiume aliyezaliwa jana ambaye amempa jina Ciro, akiungana na Thiago aliyezaliwa mwaka 2012 na Mateo mwaka 2015,wote akizaa na mkewe Antonella Roccuzzo. Sababu ya kuzaliwa kwa mtoto huyo, Messi ameondolewa kwenye kikosi cha Barcelona kinachomenyana na Malaga hivi leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AKAMILISHA 'HAT TRICK' YA WATOTO, MKEWE AJIFUNGUA MTOTO WA TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top