• HABARI MPYA

  Saturday, March 10, 2018

  ALIPOSHINDWA KUMKIMBIZA KWA MIGUU, AKAAMUA 'KUMPIGIA MBIZI', HUYO NDIYE OKWI!

  Mshambuliaji Mganda wa Simba SC, Emmanuel Okwi akimtoka mchezaji wa Al Masry ya Misri, Ahmed Abdalraof 'Shokry' Jumatano usiku katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 2-2. 
  Emmanuel Okwi, mchezaji wa zamani wa Yanga alimtaabisha mno Ahmed Shokry  
  Siku hiyo Emmanuel Okwi aliifungia Simba SC bao la kusawazisha na kuinusuru kulala 2-1 nyumbani 
  Alifunga kwa penaalti iliyopatikana kwa jitihada zake mwenyewe  

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ALIPOSHINDWA KUMKIMBIZA KWA MIGUU, AKAAMUA 'KUMPIGIA MBIZI', HUYO NDIYE OKWI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top