• HABARI MPYA

  Sunday, March 18, 2018

  MESSI AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YASHINDA 2-0 CAMP NOU

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona dakika ya 30 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Athletic Bilbao Uwanja wa Camp Nou leo, hilo likiwa bao lake la 25 katika La Liga msimu huu. Paco Alcacer ndiye alifunga bao la kwanza dakika ya nane PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YASHINDA 2-0 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top