• HABARI MPYA

    Sunday, March 18, 2018

    CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

    Nyota wa Chelsea, Pedro akipiga kibendera cha kona kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili na la ushindi dakika ya 105 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England leo Uwanja wa King Power mjini Leicester. Alvaro Morata alianza kuifungia Chelsea dakika ya 42, kabla ya Jamie Vardy kuisawazishia Leicester City dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top