• HABARI MPYA

  Sunday, March 18, 2018

  LUKAKU ALIVYOIPELEKA MAN UNITED NUSU FAINALI KOMBE LA FA

  Mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion jana Uwanja wa Old Trafford, bao la pili likifungwa na Nemanja Matic dakika ya 83 na sasa Mashetani hao Wekundu wanakwenda Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU ALIVYOIPELEKA MAN UNITED NUSU FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top