• HABARI MPYA

  Sunday, March 18, 2018

  ALVES AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO LIGUE 1 PSG IKISHINDA 2-1

  Beki Mbrazil, Dani Alves akishangilia baada ya kufunga bao lake la kwanza leo tangu ahamie Ligue 1 katika ushindi wa 2-1 wa Paris Saint-Germain dhidi ya wenyeji, NIce Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Alves alifunga dakika ya 82 hilo likiwa bao la pili baada ya Angel Di Maria kufunga la kwanza dakika ya 21 lililokuwa la kusawazisha baada ya Allan Sant-Maximin kuanza kuifungia NIce dakika ya 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ALVES AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO LIGUE 1 PSG IKISHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top