• HABARI MPYA

  Sunday, March 18, 2018

  HAWA NDIO MABINGWA WA SOKA MKOANI RUKWA KUTOKA SUMBAWANGA

  Kikosi cha timu ya Laela FC ya Sumbawanga, kilichofanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Rukwa Machi 12, mwaka huu baada ya kumaliza Ligi ya Mkoa na pointi 15, moja zaidi ya timu iliyoshika nafasi ya pili na sasa itashiriki Ligi ya Mabingwa wa Mikoa itakayoanza mapema Aprili mwaka huu 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAWA NDIO MABINGWA WA SOKA MKOANI RUKWA KUTOKA SUMBAWANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top