Kocha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taif Stars Syllersaid Kahema Mziray (sasa marehemu) akiwa na wachezaji, kipa Steven Casmir ‘Abdulmalik’ Nemes (kulia) na kiungo Athumani Abdallah Mchabwa ‘China’ katika kambi ya timu ya taifa mwaka 1990. Nemes na China wamevaa fulana za Kombe la Dunia 1990 nchini Italia.
Sunday, March 18, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment