• HABARI MPYA

  Wednesday, February 14, 2018

  SPURS YAICHOMOLEA ZOTE MBILI JUVENTUS TORINO, SARE 2-2

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 35 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Juventus kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao lingine la la Spurs lilifungwa na Christian Eriksen dakika ya 71, baada ya Juventus kutangulia kwa mabao ya Gonzalo Higuain dakika ya pili na ya tisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAICHOMOLEA ZOTE MBILI JUVENTUS TORINO, SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top