• HABARI MPYA

  Saturday, February 17, 2018

  LUKAKU AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI KOMBE LA FA

  Mshambuliaji Mbelgiji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Manchester United dakika za tatu na 35 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA England leo Uwanja wa The John Smith, Huddersfield, West Yorkshire PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top