Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar. Bao la pili lilifungwa na Jordi Alba dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment