• HABARI MPYA

  Wednesday, February 14, 2018

  LIVERPOOL WAKIJIFUA URENO TAYARI KWA MECHI NA PORTO LEO

  Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino (kulia) akifanya mazoezi na wachezaji wenzake jana Uwanja wa Do Dragao kujiandaa na mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Porto leo usiku nchini Ureno PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL WAKIJIFUA URENO TAYARI KWA MECHI NA PORTO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top