• HABARI MPYA

  Friday, February 16, 2018

  GRIEZMANN AFUNGA ATLETICO MADRID YASHINDA 4-1 ULAYA

  Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Atletico Madrid dakika ya 71 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Copenhagen Uwanja wa Telia Parken mjini Copenhagen usiku wa Alhamisi katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Europa League. Mabao mengine ya Atletico Madrid yalifungwa na  Saul Niguez dakika ya 21, Kevin Gameiro dakika ya 37 na Víctor Machin Perez 'Vitolo' dakika ya 77 baada ya wenyeji kutangulia kwa bao la Viktor Fischer dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AFUNGA ATLETICO MADRID YASHINDA 4-1 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top