• HABARI MPYA

  Friday, February 16, 2018

  BALOTELLI AFUNGA MAWILI TIMU YAKE IKILALA 3-2 NYUMBANI

  Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za nne na 28 kwa penalti timu yake ikichapwa 3-2 na Lokomotiv Moscow katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Mabao yote ya Lokomotiv Moscow yalifungwa na Manuel Fernandes dakika za 45 kwa penalti, 69 na 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AFUNGA MAWILI TIMU YAKE IKILALA 3-2 NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top