• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2018

  GEORGE LWANDAMINA ALIPOKUTANA NA GEORGE MKUCHIKA JANA

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Huruma Mkuchika (kulia) akisalimiana na kocha wa Yanga, George Lwandamina kabla ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Saint Louis Suns United jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
  Kapteni Gerge Huruma Mkuchika alianza kwa kusalimiana na wachezaji wa Yanga

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEORGE LWANDAMINA ALIPOKUTANA NA GEORGE MKUCHIKA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top