• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2018

  SIMBA YA MWENYEKITI BAMCHAWI, WACHEZAJI MWAMEJA, MASATU ILIKUWA MOTO

  Kaimu Mwenyekiti wa Simba SC, Amir Ally Bamchawi (sasa marehemu) akisalimiana na wachezaji wa klabu hiyo akina George Masatu, Ramadhani Lenny (marehemu), Mwanamtwa Kihwelo na Mwameja Mohamed wanaonekana kabla ya moja ya mechi za msimu wa 1995.  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YA MWENYEKITI BAMCHAWI, WACHEZAJI MWAMEJA, MASATU ILIKUWA MOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top