• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2018

  AMBAVYO CHIRWA HAKUAMINI MACHO YAKE JANA

  Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa akisikitika baada ya kupoteza moja ya nafasi nzuri za kufunga kwenye mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Saint Louis Suns United ya Shelisheli jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.  
  Chirwa hakuwa mwenye bahati jana Yanga ikipata ushindi mwembamba wa 1-0 
  Chirwa alikosa hadi penalti mapema kipindi cha kwanza 
  Hapa alikuwa anasikitika baada ya kupiga nje kipindi cha pili akiwa anatazama na lango
  Kipa wa Saint Louis Suns United, Michael Ramandimius akiwa amedaka mbele ya Chirwa   
  Beki wa Saint Louis akiupitia mpira miguuni mwa Chirwa jana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMBAVYO CHIRWA HAKUAMINI MACHO YAKE JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top