Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee la ushindi dakika ya 67 ikiwapiga 1-0 Valencia katika Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme, Copa del Rey usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Barca itatakiwa kwenda kuulinda ushindi huo mwembamba kwenye mechi ya marudiano Februari 8, mwaka huu PICHA GONGA HAPA
JMU at Oregon score, live updates: Follow College Football Playoff
first-round action
-
Can James Madison make it more than one-and-done as the biggest underdog of
the first round?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment