Kiungo Mjerumani, Mesut Ozil akiwa na kocha wake, Mfaransa Arsene Wenger wakati anasaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Arsenal kwa miaka mitatu na nusu zaidi wiki hii, ambao utamfanya awe analipwa mshahara wa Pauni 300,000, ambao ni Pauni 120,000 zaidi ya anaolipwa mshambuliaji mpya, Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Driver of backhoe loader bucket mixes up brake pedal with gas
-
Two workers in the Indian state of Assam were approaching a power pole in
an backhoe loader bucket on November 23. Unfortunately, the driver
accidentally h...
43 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment